World News

Thursday, September 10, 2009

.....LY 2009


Leo jioni Tanzania kote wanafunzi wa darasa la saba LY 2009 wamefanya mtihani wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi !! Pata picha furaha waliokuwa nayo... juu na chini pichani wanaonekana wakishangilia na kusema TUMEMALIZA!!!


...mdau mi pia nakumbuka furaha niliyokuwa nayo kwenye LY yangu, maana zile adha za shule zina-stop kwa mda kabla ya kuyakabili machungu mengine mbelenimarafiki wakiandika majina yao kwanye shati kwa kumbukumbu

Na ili usije kuwasahau washkaji lazima wapige machata yao kwenye sare yako ya shule.. kwanza hutoivaa tena, km skul ndio ushaua unaangalia mipango mingine

Sasa madogo tunagonga mitaani, cha msingi heshima kwa wakubwa!! msijione mmekua, bado mnatakiwa kusoma sana tu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...