World News

Tuesday, September 29, 2009

Koffi kuipamba Miss Tanzania 2009...!!Siku 2 zimesalia kabla ya ule mtanange wa Vodacom Miss Tanzania 2009 utakapofanyika ijumaa hii ya tarehe 2 oktoba ambapo utashereheshwa pia na Koffi Olomide (pichani) msanii nguli wa afro kutoka Demokrasia ya watu wa Kongo, wengine watakaopamba mashindano hayo ni Fm Academia na wasanii wengine kutoka bongo

Wanyange wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakiwa katika pozi pamoja na gari ambalo mshindi atakayepatikana usiku huo atajinyakulia gari hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...