World News

Friday, September 25, 2009

KONYAGI yakabidhiwa Cheti cha Ubora Tanzania...!Mkurugenzi wa kampuni ya Viwango vya Ubora Nchini Ungereza Tawi la Tanzania (ACM LTD) Bw. Andrew Rowe (kulia) akimkabidhi cheti cha Uzalishaji Bora wa Kimataifa wa Kinywaji cha "KONYAGI" Meneja wa Uzalishaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited (TDL) Bi. Khadija Madawili wakati wa mkutano na wana habari juzi jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...