World News

Wednesday, October 28, 2009

Elizabeth Atusua Top 10 finalist ya Bigbrother.....


Jeremy mshiriki kutoka Kenya akitoa machozi kuonyesha huzuni aliyokuwa nayo baada ya kupigiwa kura ya watakao pigiwa kura kutoka kwenye jumba la Bigbrother wiki hii, ambapo mshiriki kutoka Tanzania Elizabeth ataendelea kupeta huku akiwa amefurahi kuingia kwenye 10 bora na kunusurika ktk mchujo wa wiki iliyopita ambao na ye alikuwemo!!

Emma ambaye anaform ile couple ya 'Jemma' ye na mpenzi wake Jeremy naye yupo ktk wakati mgumu baada ya kuingizwa kwenye mchujo wa wiki hii bila ye kujijua, mwingine aliyepigiwa kuingia kwenye danger zone ni Mzamo anayeiwakilisha Malawi....


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...