World News

Wednesday, October 28, 2009

KB, Nonhle, na Lungile Kunogesha Tuzo za Channel O Music Video Awards 2009 Kesho..!!Ma-MC wakali Afrika wanaorushwa na Channel O kutoka kushoto Nonhle, Kabelo 'KB' na Lungile "Africa’s young and most gifted television stars" watasherehesha show ya muziki, utoaji tuzo na suprise za hapa na pale ktk ukumbi wa Carnival City huko Gauteng Afrika ya Kusini kesho Oktoba 29 kunakofanyika shoo ya Channel OMVA 2009.


“What can we say except that it’s a real pleasure to be part of an amazing awards show which really does honor the most gifted young talent in Africa,” says Channel O funnyman Kabelo “KB” Ngakane who promises viewers can expect a show full of “great music, lots of entertainment and a few surprises”.


Channel O Music Video Awards 2009 , inaletwa kwenu na Amarula Cream, ambapo sauti ya Afrika inasema kupitia SMS kwa simu za mkono toka pande zote za Afrika kwa kutuma namba ya category ya msanii kupitia nambari +27839208400.


Wasanii wa hiphop bongo wanawakilisha Tanzania ktk tuzo 3 tofauti, Mwana FA & YA, pamoja na Black Rhino. Mdau bado tunamasaa machache kuwapigia kura wasanii wa Tanzania Endelea Ku-VOTE MDAU............!!


Best Duo Or Group

Da L.E.S.Ft. Bongz & Maggz- We On Fire
Kalibrados- Bambribam
P Square- No One Like You
Buffalo Souljah/Taygrin/Gal Level- My Type Of Girl
Mwana Fa/ Ay Mamba- Naongea Na Wewe
D'banj Ft Mo Hit Stars- Pere


Best Hip Hop Video

Okyeame Kwame- Woso
Hip Hop Pantsula- All I Need
Zeus- GijimaJay Ru- Big Boi Anthem
Pro- Uthini Ngo Pro
Black Rhino- Black Chata


Best African East

Amani- Tonight
Mwana Fa/ Ay Mamba- Naongea Na Wewe
Xod- I Want You
Wahu- Sweet Luv
Black Rhino- Black Chata
Cannibal- I Wish

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...