
Mara nyingi zinapokutana timu hasimu za Simba na Yanga vituko na mbwembwe nyingi za kishirikina hutokea, mashabiki hurusha njiwa Uwanjani na mambo mengine km haya unayoyaona kwenye hii picha iliyopigwa wakati wa mechi yao msimu uliopita, ambapo Yanga ilitwaa Ubingwa Tanzania bara. Sasa MDAU hivi hii ni nini? Hirizi Kweli au mikwara tu..!?
No comments:
Post a Comment