Hiki ni kikundi cha Wanne Stars nacho kiliungana na Radio Times FM kushow luv na watoto wanaoishi katika mazingira magumu, ebwana jamaa ni wakali katika michezo ya utamaduni.
Hapa ilikuwa ni mashindano ya kumpata nani mjanja ambaye atabaki peke yake akiwa ameketi katika kiti, picha ya kwanza kulia ndivyo mchakato ulivyoanza huku picha ya katikati ndiyo mshindi alivyopatikana.
Panapo mkusanyiko wowote hatari inaweza kutokea, hawa ni watu wa msalaba mwekundu walikuwepo bega kwa bega na Redio Times FM kuhakikisha wanatoa huduma ya kwanza.
CEO wa Times Redio Bw. Rehure kulia akiwa na Hermy B ambaye amejiunga na redio hio hivi karibuni

No comments:
Post a Comment