Thursday, September 23, 2010

Kibao kipya cha Nicki Minaj "Right Through Me" kimevuja kupitia mtandao..!


Mwanadafada chipkiz anayetisha mbaya ktk medani ya Rap Marekani Onika Tanya Maraj aka Nicki Minaj aliyezaliwa huko South Jamaica, New York Queens, December 8 ya mwaka 1984 ameuchuna bila kusema kitu baada ya ngoma yake mpya kutoka ktk mtandao bila ridhaa yake, awali ngoma yake ya Your Love ilivuja hivohivo bila ye kutaka kuitoa kama single lakini mwisho wa siku ilipanda chart na kuwa no.1 ktk rap songs na kuvunja rekodi aliyoweka Lil Kim mwaka 2003.

Lucky for her fans, one of Nicki Minaj's latest hit “Right Through Me” was leaked onto the Internet on Wednesday (September 22).


Last month, the “Your Love” singer told MTV News, “It’s a really, really pretty song. Everyone’s gonna like it. It’s just really insightful but in a very conversational kind of way.”

According to MTV, the song finds Nicki talking to a lover, admitting that she puts up walls and tries to hide behind a front, but despite all that, her feelings are really transparent. No matter what she does, she can't escape how she really feels.


Nicki’s album, “Pink Friday,” will officially be released on November 23.

No comments:

Post a Comment