Friday, November 19, 2010

Siku ya Wanaume Duniani! PJ asisitiza kusimamisha rasmi Chama Cha CCWWT..!

Leo ni siku ya Wanaume Duniani, imezoeleweka mara nyingi ikipewa kipaumbele siku ya Wanawake duniani wakati pia wanaume wapo na siku yao ipo!

Paul James mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm ameongea tena leo na kusisitizia juu ya siku hio kupewa heshima km inavyopewa sehemu zingine Duniani. Pia amesisitizia kuanzisha rasmi Chama Cha Wanaume Wanaopigwa Tanzania (CCWWT) ambapo yeye ndio mwenyekiti wake ifikapo siku kama ya leo mwakani, amemtaja Gerald Hando kuwa katibu wa chama hicho na tayari kuna katiba na sheria 10 za chama hizo ambazo mojawapo ni mwanaume atakayepigwa kuruhusiwa kwenda ukweni kudai sehemu moja ya mahari aliyotoa kumuoa mkewe.



International Men's Day was conceived and coordinated by Dr. Jerome Teelucksingh from the University of West Indies at the Families in Action headquarters in Newtown, Port of Spain.

He chose this particular date partly to coincide with his father's birthday, whom he felt was an excellent male role model, and also because it was the day in which the football team in his country created a level of unity which crossed gender, religious and ethnic divisions.

He realized that there was no day dedicated to all men and that Father's Day excluded young boys, teenagers and men who are not fathers.


Today this very special day is recognized and supported by men's groups in America, Europe, Africa, Asia and the Caribbean.


International Men’s Day provides us all with a great opportunity to address the challenges and problems men face, for promoting gender equality, for improving gender relations between men and women, and for highlighting positive male role models.

No comments:

Post a Comment