World News

Monday, November 15, 2010

Whitney Houston ajivinjali tena na Ray J!

Inasemekana Ms. Houston (47) na Ray J (29) walikuwa dinner huko Capitol Grille Atlanta, Georgia alhamisi iliyopita (November 11) na wanaonekana kuwa karibu sana na wakifurahi na kusmile kwa sana kiasi cha wadaku kuhisi mapenzi yao yamerudi tena ktk spidi ile ile..... kiasi cha bwana mdogo Ray J kuahirisha "promotional tour" yake na ku- spend usiku mzima akiwa na Whitney huko Ritz Carlton,Al in al wadaku wanazusha tu, the reality ipo kwao wenyewe coz mpaka sasa bado hawajaweka wazi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...