Monday, August 29, 2011

Beyonce kujifungua mwezi wa 4......

Ktk Tuzo za MTV VMA zilizofanyika jana huko Nokia Theatre Marekani msanii mkali kutoka pande hizo ambaye pia ni mke wa msanii mahiri wa Hiphop Jay Z alinadi mimba yake wakati akipiga picha ktk Black carpet

Baadhi ya wadaku wameanza kusema Beyonce anaweza kujifungua mtoto wake huyo ktk miezi ya April (4) wakiunganisha na jina la album yake aliyoiita number '4', tarehe zao za kuzaliwa na ya kufunga ndoa zote zina namba 4 pia, Beyonce na Jay Z walifunga ndoa miaka mitatu iliyopita.

Pia ikumbukwe kwamba; Beyonce's birthday is 9/4. Jay-Z's birthday is 12/4.
And her mother, Tina Knowles, birthday is 1/4. Beyonce and Jay-Z were married on 4/4.

Katy Perry atwaa Tuzo ya mwaka MTV VMA 2011......



The complete list of winners from the 2011 MTV VMAs is as follows:

VIDEO OF THE YEAR
Adele, "Rolling in the Deep"
WINNER: Katy Perry, "Firework"
Beastie Boys, "Make Some Noise"
Tyler, The Creator, "Yonkers"
Bruno Mars, "Grenade"

BEST FEMALE VIDEO
Adele, "Rolling in the Deep"
Beyonce, "Run the World (Girls)"
Katy Perry, "Firework"
Nicki Minaj, "Super Bass"
WINNER: Lady Gaga, "Born This Way"

BEST MALE VIDEO
Cee Lo Green, "F--k You"
Eminem feat. Rihanna, "Love the Way You Lie"
Bruno Mars, "Grenade"
Kanye West feat. Rihanna & Kid Cudi, "All of the Lights"
WINNER: Justin Bieber, "U Smile"

BEST POP VIDEO
Adele, "Rolling in the Deep"
Bruno Mars, "Grenade"
Pitbull featuring Ne-Yo, Nayer & Afrojack, "Give Me Everything"
Katy Perry, "Last Friday Night (T.G.I.F.)"
WINNER: Britney Spears, "Till The World Ends"

BEST ROCK VIDEO
Mumford & Sons, "The Cave"
Cage The Elephant, "Shake Me Down"
Foster The People, "Pumped Up Kicks"
WINNER: Foo Fighters, "Walk"
The Black Keys, "Howlin' For You"

BEST HIP HOP VIDEO
Lil Wayne feat. Cory Gunz, "6'7'"
Kanye West feat. Rihanna & Kid Cudi, "All of the Lights"
WINNER: Nicki Minaj, "Super Bass"
Chris Brown feat. Lil Wayne & Busta Rhymes, "Look at Me Now"
Lupe Fiasco, "The Show Goes On"

BEST NEW ARTIST
Foster the People
Wiz Khalifa
WINNER: Tyler, the Creator
Big Sean feat. Chris Brown
Kreayshawn

BEST COLLABORATION
Pitbull featuring Ne-Yo, Nayer & Afrojack, "Give Me Everything"
Chris Brown featuring Lil Wayne and Busta Rhymes, "Look at Me Now"
Kanye West featuring Rihanna and Kid Cudi, "All of the Lights"
WINNER: Katy Perry Featuring Kanye West, "E.T."
Nicki Minaj featuring Drake, "Moment 4 Life"

BEST ART DIRECTION
WINNER: Adele, "Rolling In The Deep"
Katy Perry featuring Kanye West,"E.T."
Lady Gaga, "Judas"
Kanye West featuring Dwele, "Power"
Death Cab For Cutie, "You Are a Tourist"

BEST CHOREOGRAPHY
WINNER: Beyoncé, "Run the World (Girls)"
Britney Spears, "Till the World Ends"
Lady Gaga, "Judas"
Bruno Mars, "The Lazy Song"
LMFAO featuring Lauren Bennett & Goon, "Rock Party Rock Anthem"

BEST CINEMATOGRAPHY
WINNER: Adele, "Rolling in the Deep"
30 Seconds to Mars, "Hurricane"
Eminem featuring Rihanna, "Love the Way You Lie"
Katy Perry, "Teenage Dream"
Beyoncé, "Run the World (Girls)"

BEST EDITING
Katy Perry featuring Kanye West, "E.T."
30 Seconds to Mars, "Hurricane"
WINNER: Adele, "Rolling in the Deep"
Manchester Orchestra, "Simple Math"
Kanye West Featuring Rihanna and Kid Cudi, "All of the Lights"

BEST SPECIAL EFFECTS
WINNER: Katy Perry featuring Kanye West, "E.T."
Linkin Park, "Waiting For the End"
Manchester Orchestra, "Simple Math"
Kanye West featuring Dwele, "Power"
Chromeo, "Don't Turn the Lights On"

BEST VIDEO WITH A MESSAGE
WINNER: Lady Gaga, "Born This Way"
Eminem (featuring Rihanna), "Love the Way You Lie"
Katy Perry,"Firework"
Pink, "Fuckin' Perfect"
Rise Against, "Make It Stop (September's Children)"
Taylor Swift, "Mean"

Sunday, August 28, 2011

JOSLIN aibukia katika chama la Makavulive...!

Joslin katikati alipokuwa na Wakali Kwanza

JOSLIN msanii mkali ktk game hii ya Muziki ameanza kurudi upya na kuonyesha makali yake baada ya kuachia nyimbo aliyomshirikisha mwanadada PIPI wiki kama 3 zilizopita, sambamba na nyimbo hio ambayo tayari imeanza kupendwa na Fans baada ya kupigwa na vituo mbalimbali vya redio pia Ameibuka tena ktk nyimbo ya MAKAVULIVE inayoitwa "MAMBO MAMBO" akiwa amefanya chorus na verse ktk collabo hilo

Wasanii wengine walioimba ktk nyimbo hio mpya ni pamoja na mshkaj wake wa karibu DULLAYO, XDIZO na MON-G ambao wao wapo ktk hood hii tangu kitambo.

Jojojoo0! mkali wa 'Niite basi' na 'Perfume' alishafanya album mbili (2) awali kabla ya kukaa kimya kwa muda kidogo. Akiwa mbali na mic bado ameandika nyimbo nyingi ambazo baadhi alishawapa wasanii wengine wakaimba. Jamaa alifanya album mbili lakini bado anaudai sana huu mziki, na bado ana mengi yakuyafanya ktk hii industry kiasi cha kuweza ku-deal na project mbili kwa mpigo hivi sasa...

Joslin anafanya Project yake na pia anashiriki ktk Project ya Makavulive km ilivyo kwa Dullayo, Ommy G na wasanii wengine wa Combine hio

Kuskiza na ku-download ngoma mpya ya MAMBO MAMBO check kwenye playlist hapo juu!


Saturday, August 27, 2011

New Track; MIKWARA - Cezeline ft. Robzy


Msanii wa Bongo anayefanya shughuli zake za muziki pande za Canada ametoa ngoma inayoitwa MIKWARA ambapo ameifanyia hukohuko Canada..... na Prodyuza ni yeye mwenyewe

Unaweza kuiskiza na Ku-download bure kabisa hapo juu kwenye playlist ya Makavu


Friday, August 26, 2011

Get to Kno - CEZELINI, msanii na Producer anayeishi Canada...!

Cezelini akiimba kwa hisia

Born Christian Charles Shirima in 1986, singer/songwriter and producer CeZeLiNi was raised in Tanzania after birth in Kenya where his parents resided before returning to their homeland. CeZeLiNi is now situated in Canada where he has managed to establish himself as a credible artist and producer.

His bond with music began when he was an infant barely able to walk, his siblings would hear him sing ti’s and ta’s in perfect rhythm. One such is heard in the commencement of the song ‘Special Moments.’ By the time he could walk, he was banging beats on tables with kitchen utensils. By age 16 he was producing fully fleshed beats with his school’s keyboard. A little after that he moved to Canada for high school and University where he graduated with a Bachelor’s degree in Electrical Engineering. It was here with the aid of software he truly hit his pace. Within a year CeZeLiNi had made over 200 beats and produced 2 albums for ‘Delta 14’ his long time friend back in Kenya.

Cezelini na Robz aliyeimba nae nyimbo inayoitwa MIKWARA

Collaborating with K-slo and Robz (winner of the Best Producer Award at IADT – International Academy of Design and Technology) in 2007 they founded Time Wreakords. The amazing Trio has produced numerous hit records for Toronto based artists Cuban, O. Dizzle, Nyce and Delta 14 who moved to Canada after the success of his previous albums.

In 2009 CeZeLiNi began adding even more elements to his musical palette by playing with Ottawa based band ‘Tonality’ alongside bassist Nick Thomas, drummer Emree Wilson and guitarist Ryan Tracey. His contribution to the band revolved around vocals, keyboard and percussion.

With the release of his debut album ‘Songs For You’ CeZeLiNi shines with his production, instrumentation and vocal abilities. Pulling from influences in Hip hop, R&B, World, Rap and Rock CeZeLiNi has created a unique and original style of music he can call his own. Tribal African rhythms with electric guitars never afar, syncopated loops with dance synthesizers below, cascading piano chords and high hat patterns the likes of Timbaland. These feats are the domain of CeZeLiNi coupled with lyrics similar to the Marley family and Michael Franti.

He has performed throughout Ontario and shared the stage with East African Stars such as Nameless, Chameleon and Redsun. Winner of CUNSA’s (Carleton University Nigerian Student Association) Talent of the Year award, CeZeLiNi aims for nothing short but the stars. His attitude and ability are in check and his music speaks for itself.

Thursday, August 25, 2011

Tuchangamke kupiga kura kwa wingi sana Mlima Kilimanjaro uingie kwenye Maajabu 7 mapya ya Dunia.....

Kilimanjaro

Baada ya kura nyingi sana kupigwa na utafiti wa kina kufanyika Duniani juu ya mambo kibao yanayostaajabisha yakiwamo milima, mabonde, mito, maporomoko, mapango na kadhalika... Organisation inayoitwa Seven Natural Wonders imeteuwa vivutio 28 duniani kote ambavyo hutembelewa sana na watilii, ili vipigiwe kura na kuwa New Seven Natural Wonders of The World.

Kutoka Afrika kumechaguliwa vituo viwili tu, ambavyo ni Mlima Kilimanjaro wa Tanzania na Mlima Meza wa South Afrika. Ktk nafasi zote 28 Afrika tunagombania kuwepo ktk hizo nafasi 7 kwa kutumia nafasi mbili tu

Wadau tuonyeshe Uzalendo wa Kupiga KURA nyingi sana kwa Mlima KILIMANJARO, wenzetu wa Afrika ya Kusini tayari walishaanzisha na website ya kupromote zoezi hilo sijui kwa Tanzania kama wamefanya hivyo

ila kupiga kura unapiga moja kati ya hizi namba za simu +23 9220 1055
+1 869 760 5990
+1 649 339 8080
+44 758 900 1290
Alafu baada ya mlio ingiza namba 7716, hapo utakuwa umepiga kura moja kwa Tanzania

Fanya hivo mdau, Wazungu wako lesi ile mbaya na mwisho wa kupiga kura ni Novemba mwaka huu na Maajabu 7 mapya yatatangazwa tarehe 11.11.2011

HAYA SHIME

Msondo, AY & FA watwaa TUZO za Afrika ya Mashariki....!

Wasanii kutoka Tanzania wameshinda TUZO tatu ktk kinyanganyiro cha Tuzo za Afrika ya Mashariki zilizofanyika jumamosi iliyopita huko Boma Kenya.

Wasanii hao ni pamoja na AY & FA wameshinda kwenye Best Collabo, Msondo Ngoma (Kalunde) - Best Rhumba Group na Tina Mdulule aka Big mama, ambaye ameshinda ktk category ya Traditional, Best Female wakati Tuzo ya msanii wa mwaka ilikwenda kwa Kidumu.

Washindi wa Tuzo hizo check hapa chini, katika maandishi mekundu.

URBAN CONTEMPORARY CATEGORY

Best Male
Dr. Claude - "Baramu Gyanye" - RWANDA
Nhaitty Man - "Nefs" - ETHIOPIA
Jaguar - "Kigeugeu" - KENYA
Bebe Cool - "Minzani" - UGANDA

Best Female
Liza Kamikazi - "More than a Dream" - RWANDA
Lady Jaydee - "Teza" - TANZANIA
Juliana - "Alive Again" - UGANDA
Wahu - "Sweet Love" - KENYA

Best Group
P-Unit - "Kare" - KENYA

Just Family - "Bareke" - RWANDA
Radio & Weasel - "Nakudata" - UGANDA

Best Collabo
AY ft. Mwana F.A. "Habari Ndio hiyo" - TANZANIA

Marya Ft. Avril - "Chokoza" - KENYA
Kidum ft. Juliana - "Haturudi Nyuma" - BURUNDI & UGANDA
Wyre Ft, Cecile - "She said dat" - KENYA

GOSPEL CATEGORY

Best male
Cedric Bangy - "Segneur" - Burundi.
Dominique Ashimwe - "Nditabye" - RWANDA
Dawit Getachew - "Etebikihalehu" - ETHIOPIA
Wiseye Willie - "Buye Gigitare" - BURUNDI

Best Gospel Female
Christina Shusho - "Unikumbuke" - TANZANIA

Gaby - "Amahoro" - RWANDA
Alice Kamande - "Upendo Ule ule" - KENYA
Upendo Nkone - "Haleluyah Usifiwe" - TANZANIA

Best Gospel Group
Nef Thalem Assegid - " Nebse" - ETHIOPIA
Mwanza Gospel Choir -Nivema" - TANZANIA
B.M.F - "I live for you" - KENYA

Best Gospel Collabo
Emmy Kosgei ft. Lynn. "Omegeu Rerein" - KENYA

Mbuvi Ft. Kambua - "Kivevelo" - KENYA

AFRO FUSION CATEGORY

Best Male
Winyo - "Odongo" - KENYA
Kidum - "Mapenzi" - BURUNDI
Mutinda " Simama" - KENYA
Muhire Francis - "Nawe Ndangiye" - BURUNDI
Maurice Kirya - "Boda Boda" - UGANDA

Best Afro Fusion Female
Liza Kamikaze - "kigali" - RWANDA
Emarauce Niwizera - Yambogorera" - BURUNDI
Achieng Abura - "Omusala" - KENYA
Chumba - "Ame Milamila Met" - KENYA

Best Afro Fusion Group
The Brothers - "Sawa Sawa" - RWANDA

Gargar - "Aids Wadila" - KENYA
Sauti Sol "Somasoma" - KENYA

RHUMBA CATEGORY

Best Male
Fally Ipupa - Sexy Dance - DRC
Chritian Bela "Yako wapi mapenzi - TANZANIA.
Ken Wa Maria - "Kavaluku" - KENYA
Papa Wemba - Six Million" - DRC

Best Rhumba Female
Masha Mapenzi - "Kala Urere" - KENYA
Tshala Mwana - "Maloz" - DRC
Vumilia Abraham - "Tatizo" - TANZANIA.

Best Rhumba Group
Just Family - "Mama" - RWANDA
Msondo Ngoma - "Kalunde" - Tanzania
J.B. Mpiana w/ Wenge Maison Were - "Mpunda" DRC
Werason w/ Wenge B.C.B.G - "Mitterand Champagne" - DRC

FOLK/TRADITIONAL CATEGORY

Best Male
Alfred & Bernard - "Igukumi Karotirinda" - BURUNDI

Eyob Mackonen - "Ye Mi Dirshie" - ETHIOPIA
Ethio-colour - Shemonmuama - ETHIOPIA
Diwani Nzaro - "Ukaa" - KENYA

Best Female
Beatrice Mathew - "Mapenzi ya Kweli" - TANZANIA
Nirere Shanel - "Ameteka" - RWANDA
Lady Jaydee - "Mtarimbo" - TANZANIA
Tina Mdulule (Big Mama) - "Tupapule" - TANZANIA

MOST PROMISING ARTIST

Most Promising male Artist
Mabeste from - TANZANIA
Solomon Mukubwa from - DRC
Mr. Lengs from - SOUTH SUDAN

Most Promising Female Artist
Nirere Shanel from RWANDA
Keko from UGANDA
Friday John from South Sudan

BEST VIDEO CATEGORY

Lam - "Stay in Love" - SOUTH SUDAN
Amani - "Without You" - KENYA
Nonini - "Kataa Hiyo" - KENYA
Immanuel Jal - "We Want Peace" - S. SUDAN
M.O.G ft. Juliani "My Call" - KENYA

Artist of the Year
Kidum

Wednesday, August 24, 2011

Cpwaa anaomba kura nyingi ktk Channel O Music Video Awards 2011

Greetings Tanzania,
Here is another great news from our own Bongoflava finest! CPwaa who together with other two Tanzanian Bongoflava artits have been nominated for the Channel O's Music Video Awards 2011.Africa's biggest Music Video awards have already picked its nominees from across the continent and from Tanzania, CPwaa, AY and Shaa have been nominated in different categories.

CPwaa has been nominated for the "MOST GIFTED VIDEO EAST AFRICAN ARTIST" through his music video "ACTION" feat Ms. Triniti, Dully Sykes and Mangwea.

AY is also in the same category with CPwaa through his video "Good Look" and another category MOST GIFTED DUO, GROUP OR FEATURING VIDEO ARTIST.

While SHAA has been nomonated for the MOST GIFTED AFRO POP with her music video "Crazy".

The awards celebration will be held in South Africa, end of October and the voting polls are already open until 27th October. To vote for CPwaa visit the link below and votes directly from the website or you can also vote via SMS send the code
Please lets vote for CPWAA . Lets support our Music, lets support our Artists.
Watch Cpwaa's video which has been nominated on the link below.

Bagdad amwimbia mpenzi wake Anitha....!

Bagdad aka Baba Anita

Hii ni rud mix ambayo ilifanyika siku ya juma pili ya tarehe 14 mwezi wa nane saa tano na dakika 59 usiku na lengo luilikuwa ni kutengeneza nyimbo kwa ajili ya anitha coz tar 15 ni birthday yake, so ilipokamilika tuuuu nikaweza kuituma kwako lakini kwa bahati mbaya ilikuja kwenye format ambayo hutoweza kuicheza sasa hii nimekutumia naw naamini utaicheza any tym from now coz

huu mwezi kwangu ni mwezi mkuu sana coz tare 13 aug amezaliwa faread qubanda jamaa ambae namuangalia napotaka kuandika ryms zangu,
15 august my girlfriend anitha,
tar 31 aug ndio siku aliyozaliwa my mumy and my brada so aug kwangu ni nouma...


i need your help and kingine cha kukuomba nakuomba uwaambie watanzania kuwa nawaomba wajitokeze kwa wingi siku ya juma pili siku ya kushuti video ya full ng'ae ng'ae pande za belinda beach kunduchi beach karibu na jangwani see breas kuanzia saa nne asbhi...
thanx 4 your saport,

Kuskiliza na ku-download kwa ajili ya Promo tuu! "Waniwie Radhi" nenda kwenye Playlist ya Makavulive hapo juu

Friday, August 19, 2011

BONGOFLEVA INAKUFA - AZMA

Msanii wa Hiphop AZMA kutokea hood ya UMABE ameachia ngoma mpya inayoitwa "Bongofleva inakufa", pata kuiskiza na ku-download bure kabisa For Promo ktk playlist hapo juu

SONG: BONGO FLEVA INAKUFA
ARTIST: AZMA
EMAIL:azmamponda@gmail.com/umabe2010@yahoo.com
STUDIO: TATOO RECORDS.
PRODUCER: AK MUSIC/AK 47.
GENRE: HIP HOP
WEBSITE: www.umabearts.blogspot.com
COUNTRY: TANZANIA
LANGUAGE: KISWAHILI.
UMABE MEMBERS: AZMA MPONDA,VICTOR MRISHO,(KITA THE PRODUCER),GEORGE
OLOMI,FREDDIE NJEJE ETC..........




Intro:
Yah AK 47(ah ah), AZMA, (sure) I’.m not killing bongo flavor (yes
yes), bongo flavor wanajiua wenyewe.

Verse i
Ndugu zangu wapendwa,anzeni maandalizi ya msiba,
Bongo fleva imetendwa,sidhani kaa itapona kwa tiba,
Walio asi wanatengwa,mapengo yao yanazibwa,
Wengine wanachengwa,malengo yao,yanaibwa,

Wasanii hawana dira,wamepoteza mwelekeo,
Wanachezwa kama mpira,wakisubiri matokeo,
Mara hivi mara vile,hawaishi kwa upendo,
Mara hiki mara kile,kila siku ni skendo,

Wanauza sura za bandia,hawaishi maisha halisi,
Kila treni wana dandia,wanatamani kaa mafisi,
Kwa magari ya kuazima,wanang’oa mademu mtaani,
Wanauza sura kiulazima,wana mrehemu wasimlaani

Wamelala vitandani,mpaka inzi wame mkinai,
Wafungiwe vibandani,wana makosa ya jinai,
Wana mioyo iliyolaanika,hawaishi kwa divai,
Wengi wao wamelainika,ila mtaani wana jidai




Verse ii
Hawana jipya,wakilala wakiamka ni mapenzi,
Hawana utu,ni mafala ni masnitch ni washenzi,
Wakiwa na shida wanakujali,wakipata tuu,wanajenga dharau,
Mtakutana ni kaa ajali, na ukiwafuata tuu,wameshakusahau,

Hawafai kabisa,nenda nao kwenu,,wakuharibie dada zako,
Wanachuki na visa,ukienda nao kwenu,watakuibia raba zako,
Wameshindwa kuuza mziki,na sasa wanauza sura,
Waliishi maisha ya dhiki, na sasa wamekuwa visura,

Wakiume wamejipodoa,wanongea kama mademu,na nywele wamesuka,
Wakike ni machangudoa, popote wanagawa gemu,na chati zina shuka,
Wakiimba wanalegeza macho na wanakata viuno,
Unaonyesha maungo yako,vipi upigwe mikuno?,

Ustaarabu hakuna,mtaani wanaranda randa kaa bidhaa za promotion,
Ukistaajabu nakuna,ushairi unawaganda ganda na kuwachana kislomotion,
Wakike wamekuwa vicheche,kawaulize ni mara ngapi wameshafanyiwa abortion,
Wakiume wanatema cheche,kila demu wanamtamani wanaendeshwa kwa emotion,

Verse iii
Naongea ili mjifunze,msiishie kunijadili,
Ni bora jamii ijitunze,isipoteze maadili,
Kila aliye na upeo, apewe kinachostahili,
Kwakuiga kwenye video hamtageuka mahili,

Ni kwa masela Fulani,mnao copy na kupaste,
It’s a tellor fun,mi ndio hopy mi ndio beste,
Nakuna,nawakomaza,waache uzembe kwenye gemu,
Hakuna ,wanachowaza,zaidi ya pombe na mademu,

Wanatia kinyaa,wanatisha kama mazimwi,
Wakikosa zinaa,hawatakosa kuwa naukimwi,
Daile wana sua sua,hawana kinga mwilini,
Hawawezi jina sua,wako empty akilini,

Wanapelekwa kwa maboya,hawanaga vision,
Wanamsifu tuu Latoya,hawanaga mission,
Kwa ajili yao,mziki wanaonekana kaa ni uhuni,
Hawana chao,wenye riziki tunawasweka kapuni,

Autro
yes yes AZMA ha ha AK 47,YES AH Thanx god,mungu ibariki
TANZANIA,inusuru BONGO FLEVA,YES UMABE,I’m out nigaz.. THIS IS
HIPHOP.

SPECIAL THANX:
TO ALL THE FANZ OF AZMA & UMABE…..

IN GOD WE TRUST…
‘WE ARE THE BEST’

IN THIS PROFFESSION.

Tuesday, August 16, 2011

AY FT LAMYIA & ROMEO - SPEAK WITH YA BODY (Official Video HQ)


HIV / AIDS CAMPAIGN VIA SMS


AIDS:

wanna know its ins and outs?

wanna know current statistics?

how to live Aids-free life?

get to know these and many more...INBOX ME YOUR PHONE NUMBER PLZ you will get helpful Messages for this!!!

it's free

Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kututumia namba yako

BOFYA HAPA



Wapigie kura CPWAA, DIAMOND, HERMY B, ADAM JUMA, SHAA, AY, ROSE MUHANDO, CHEGE & TEMBA - Tuzo za Museke 2011

Afrotainment - Museke Online African Music Awards 2011 zinatarajiwa kufanyika tarehe 24 Septemba ya mwaka huu ktk Studio za Afrotainment huko New York Marekani, ambapo ktk caregories kama 32.... wasanii kutoka Tanzania wamekuwa nominated mara 10 (ktk category 10 tofauti) wakiongozwa na Diamond ambaye yupo ktk categories 3.


Wasanii hao ni pamoja na DIAMOND, CPWAA, ROSE MUHANDO, HERMY B, ADAM JUMA, SHAA, AY, CHEGE & TEMBA.

Kuwapigia KURA wasanii hawa online, ingia ktk website ya Museke.com au bofya moamas.com (www.moamas.com/polls) chagua msanii unayempigia kura kisha bofya vote. Kura zimeanza kupigwa tangu tarehe 10 August na zitafungwa tarehe 18 ya September...... Piga kura kwa wingi unaweza kushinda zawadi ya ticket kwenda kushuhudia Tuzo hizo Marekani.


New Artiste
Cabo Snoop - Angola
Diamond - Tanzania
Ice Prince - Nigeria
Jay Ghartey - Ghana
Mo’Cheddah - Nigeria
L-Tido - South Africa
Wizkid - Nigeria



Best African Collabo
Jukpa remix - J Martins/Fally Ipupa - Nigeria/DRC
Toi et ta vie - Yvonne/Dama Do Bling - Kenya/Mozambique
12500 Volts - Dibi Dobo/DJ Arafat/Kamnouze - Benin/Cote d’Ivoire
Bang it all - Paul G/Akon - Angola/Senegal
Kiss your hand remix - R2Bees/Wande Coal - Ghana/Nigeria
Songa mbele - Alpha/AY - Rwanda/Tanzania
Nwa Baby remix - Flavour Nabania/Asem/Stone - Nigeria/Ghana


Voter’s choice
Ma preferee - Omar B - Togo
Landale beat - Kibistone - DRC
So Pwaa - CPWaa - Tanzania
Dancehall Attitude - Lord Kemy - Guinea
Feel me - Rachel K - Uganda
In my head - Jon Germain - Ghana
So in Love - Moh Dediouf - Senegal

Audio producer -
Don Jazzy - Nigeria
Bebe Philip - Cote d’Ivoire
Hermy B - Tanzania
Ulopa - Kenya
RKay - Kenya
37mph - South Africa
Killbeatz - Ghana

Video director -
Clarence Peters - Nigeria
Adam Juma - Tanzania
Ogopa Video - Kenya
Gorilla Films - South Africa
Gelongal - Senegal
DJ Marcel - Mozambique
Jeff Attiogbe - Togo



East Africa
Nitafanya - Kidumu - Burundi
Kare - P-Unit - Kenya
Songa mbele - Alpha - Rwanda
Mbagala - Diamond - Tanzania
Gaarsiiya - Ikraan Caraale - Somalia
Haturudi nyuma - Juliana K - Uganda
Kasepiki - Bebe Cool - Uganda


R&B/Soul -
Holla at ya boy - Wizkid - Nigeria
Kele Kele Love - Tiwa Savage - Nigeria
Haturudi Nyuma - Juliana K - Uganda
Mbagala - Diamond - Tanzania
Wrong for you - Loyiso - South Africa
Remember - Bracket - Nigeria
Je la veux - Singuila - Central African Republic


Religious/Gospel song -
Kupe De Kalle - Daddy Owen - Kenya
Baba - Sonnie Badu - Ghana
Papa God Ooh - MOG - Kenya
A e phetehe thato ya hao - Kabelo Eric - Botswana
Kiatu Kivue - Rose Muhando/Anastasia Mukabwa - Tanzania
Covenant song - Rebecca & Uche - Nigeria
Uyahalalela - Benjamin Dube - South Africa


Afro-pop -
Songa mbele - Alpha - Rwanda
E no easy - P-Square - Nigeria
African girls - Castro - Ghana
Mr. Endowed - D’Banj - Nigeria
Implication - 2Face Idibia - Nigeria
Shoga - Shaa - Tanzania
Chokoza - Avril & Marya - Kenya

Afro hip-hop song -
Kare - P-Unit - Kenya
Aha ye de - Nana Boroo - Ghana
Mhlobo Wami - TearGas - South Africa
Independence Cha cha - Baloji - DRC
Kama si sisi - Juliani - Kenya
Mkono mmoja - Chege & Temba - Tanzania
Away - VIP - Ghana

Kujua Nomination za Wasanii wengine bofya hapa www.awards.afrotainment.us


Friday, August 12, 2011

Jay -Z & Kanye West forming the Best HipHop Duo.........

Duo group kali Bongo AY & FA

Muunganiko wa wasanii wawili wa HiPhop JaY Z na Kanye West baada ya kutoka na album ya pamoja "WaTch the Throne" umekuwa gumzo na kupokelewa kwa shangwe sana na fans wa muziki dunian kiasi cha kuifanya hio Album kutishia zaid ktk soko

Watch the Throne inatarajiwa kuuza kopi laki tano (500,000 copies) ktk wiki ya kwanza sokoni

Ktk 20 Bora za kundi la wasanii wawili wawili Outkast wana rekodi nzuri zaidi baada ya kuachia nyimbo zao kama "Aquemini" mwaka 1998 na "Ms. Jackson" mwaka wa 2000


Ktk Hiphop duo kali duniani, uwezi kuwaacha hawa wakali ambao wamedumu ktk hii game mpaka sasa.... Dr. Dre na Snoop walitengeneza bonde ya ngoma "Nuthin but a G Thang" ambayo mpaka leo hii ni moto wa kuotea mbali

Biggie na P Diddy urafiki wao kabla ya kifo cha Notorious ulikwenda vizuri na kufanikiwa kutengeneza Bad Boy Records na baadaye P Diddy kutoa album yao ya pamoja iliyokwenda kwa jina la "No Way Out"

Ying Yang Twins, wakali wa Crunk 'GET low' na 'Salt shaker'

Mobb Deep, wawili hawa hawatasahaulika..... mwaka 1995 walifanya album kali ambayo ilikuwa ni lazima uiskilize ikiitwa "The infamous"

Mon G - Mtoto Wa Dar

Wednesday, August 10, 2011

Warren Jeff kiongozi wa wake wengi kanisani, afungwa maisha kwa ubakaji!



WARREN JEFF kiongozi wa kanisa mwenye wake wengi, akiliongoza kanisa la FLDS (Fundamentalist Church of Jesus Christ of Latter Day Saints) amehukumiwa kifungo cha MAISHA JELA huko Texas baada ya kukamatwa kwa mara nyingine akikabiliwa na kesi ya ubakaji wa watoto wawili(waumini wake) wenye umri wa miaka 12 na 14 miaka ya 2008.

Warren Jeff aliwekwa ktk list ya Watu 10 wanaotautwa sana na FBI mwaka 2006 kabla ya kukamatwa, alishtakiwa kwa kuwafungisha ndoa waumini wake wanaume watu wazima kwa watoto wakike walio chini ya miaka 18. Pia yeye mwenyewe alikuwa na wake 76 katim yao 24 walikuwa na umri chini ya miaka 17.



Akiwa Nabii wa wake wengi, kanisa lake lina waumini zaidi ya 10,000 nchi nzima na amekuwa akirekodi matukio yake yote ya ndoa na yale mambo yake ya faragha akiwa na wakeze, hata alipokuwa akimbaka mtoto wa miaka 12 wake zake watatu walikuwa wakishuhudia.

Huku Warren akienda jela maisha yake yote, inasemekana kanisa ameachiwa prophet mwingine atakayechukua nafasi yake... ambae Lyle kakaake Warren ambae ni mbaya zaidi yake hivyo waumini wategemee matatizo zaidi ya yale ya Warren.

Tuesday, August 9, 2011

New Version ya "Kigeto geto" by Bac - T & Jay Pally feat. T -Mac kutoka Burundi na Rwanda...!

Msanii wa Hiphop Rwanda Bac-T kulia ameshirikiana na mwenzie kutokea pande hizo kuurudia wimbo ulioimbwa na Sir. Nature "Tulianzisheni za Kigetogeto Juma Nature P. Funk na King Sapeto" miaka ya nyuma kidogo.
Wimbo huo pia awali kabisa ulifanywa na King Sapeto, Biko wakishirikiana na Sir. Nature ambapo Nature aliurudia baada ya kupewa ruhusa na kina King Sapeto kisha kuuweka kwenye album yake ya NINI CHANZO, hivyo nyimbo hio imerudiwa kwa mara ya pili sasa.

SONG: Ki ghetto ghetto

ARTISTS: T-Max, Jay Pally, Bac-T

LANGUAGES USED: Swahili, Kinyarwanda and English.

PRODUCED BY: licky licky

MASTERED BY: licky licky

PRODUCTION STUDIO: Step Up Records

This is the Classic hip hop song composed by the insparations of the song Kighetto Getho by Juma nature, P-Funk and King Sopeto, The chorus composed by the hip hop artist from Burundi “ T-Max” and the verses composed by Bac-T and Jay-Polly both are Rappers from Kigali Rwanda.

The studio “STEP UP RECORDS” produced this song is one of the big and famous studios in Rwanda .

I hope you gonna like this song, we need your support, Usikilize wimbo huo ktk Playlist ya Makavulive hapo juu.


Happy Birthday To Ya!

Mdau wa 'Makavu' Dj G Makker Greene

Mark 'Makamua' Paul

And ol people who born on tha same day 2day We wish u All gudz
Happy b'day


Saturday, August 6, 2011

MFAHAMU ....... ERICA LULAKWA msanii wa Bongo aishiye Marekani

Erica Lulakwa

Erica is a singer-songwriter from Tanzania, East Africa. Falling in love with music at an early age, she developed her passion while singing in her local church choir. After completing a degree in Mass Communication from St. Augustine University of Tanzania (SAUT), Erica worked as a TV and Radio producer at KISS-FM Tanzania, Trinity TV, and Tanzanian Broadcasting Corporation (TBC) while pursuing her passion for music.

Erica akiwa na meneja wake

In 2005, she released her first single “Tafakari”, which received a wide release on East African radio and TV. One year later, Erica made her debut on American airwaves with the lead vocal on George Sarah’s “Moja Bila Moja.”

In 2010, Erica released her latest single “Close to You” on iTunes. Erica currently lives in San Francisco where she plans to release an album later this year.

She has recently shot a video for her debut single, which will soon be aired on your favorite TV stations and online.

The Making of her new Video "CLOSE TO YOU"

You can get the song “Close to You” on itunes at http://itunes.apple.com/us/artist/erica-lulakwa/id352840122#

For more information about Erica, you can visit her website at http://www.ericalulakwa.com

Check her out on Facebook: http://www.facebook.com/EricaLulakwa

Follow her on Twitter: www.twitter.com/EricaLulakwa

Erica Performance at a Tanzanian Independence party in California:

http://www.youtube.com/watch?v=fzIrH9yJWU8

Friday, August 5, 2011

TUZO za kwanza za Muziki Afrika ya Mashariki kufanyika Agosti 20.......!


Golden Dreams co. LTD wameandaa tuzo za muziki kuhusisha nchi nane za Afrika ya Mashariki ambazo ni TANZANIA, KENYA, UGANDA, ETHIOPIA, RWANDA, BURUNDI, SUDAN na CONGO DRC.

Tuzo hizo zinaangaliwa kutoka ktk style mbalimbali za muziki kama; Taarabu, Hiphop, Rhumba, Gospel na nyingine zinazoizunguka Afrika ya Mashariki na jirani zake. East Africa Music Awards EMAs itaonyeshwa live tarehe 20 Agosti mwaka huu kupitia vituo sita (6) za TV ktk maeneo ya Afrika, ikishirikisha majaji kumi (10) kutoka nchi husika.

Nominees ktk categories tofauti hapa chini: -

URBAN CONTEMPORARY CATEGORY

Best Male

1. Dr. Claude - "Baramu Gyanye" - RWANDA
2. Nhaitty Man - "Nefs" - ETHIOPIA
3. Jaguar - "Kigeugeu" - KENYA
4. Bebe Cool - "Minzani" - UGANDA

Best Female

1. Liza Kamikazi - "More than a Dream" - RWANDA
2. Lady Jaydee - "Teza" - TANZANIA
3. Juliana - "Alive Again" - UGANDA
4. Wahu - "Sweet Love" - KENYA

Best Group

1. P-Unit - "Kare" - KENYA
2. Just Family - "Bareke" - RWANDA
3. Radio & Weasel - "Nakudata" - UGANDA

Best Collabo

1. AY ft. Mwana F.A. "Habari Ndio hiyo" - TANZANIA
2. Marya Ft. Avril - "Chokoza" - KENYA
3. Kidum ft. Juliana - "Haturudi Nyuma" - BURUNDI & UGANDA
4. Wyre Ft, Cecile - "She said dat" - KENYA

GOSPEL CATEGORY

Best male

1. Cedric Bangy - "Segneur" - Burundi.
2. Dominique Ashimwe - "Nditabye" - RWANDA
3. Dawit Getachew - "Etebikihalehu" - ETHIOPIA
4. Wiseye Willie - "Buye Gigitare" - BURUNDI

Best Gospel Female

1. Christina Shusho - "Unikumbuke" - TANZANIA
2. Gaby - "Amahoro" - RWANDA
3. Alice Kamande - "Upendo Ule ule" - KENYA
4. Upendo Nkone - "Haleluyah Usifiwe" - TANZANIA

Best Gospel Group

1. Nef Thalem Assegid - " Nebse" - ETHIOPIA
2. Mwanza Gospel Choir -Nivema" - TANZANIA
3. B.M.F - "I live for you" - KENYA

Best Gospel Collabo

1. Emmy Kosgei ft. Lynn. "Omegeu Rerein" - KENYA
2. Mbuvi Ft. Kambua - "Kivevelo" - KENYA


AFRO FUSION CATEGORY

Best Male

1. Winyo - "Odongo" - KENYA
2. Kidum - "Mapenzi" - BURUNDI
3. Mutinda " Simama" - KENYA
4. Muhire Francis - "Nawe Ndangiye" - BURUNDI
5. Maurice Kirya - "Boda Boda" - UGANDA

Best Afro Fusion Female

1. Liza Kamikaze - "kigali" - RWANDA
2. Emarauce Niwizera - Yambogorera" - BURUNDI
3. Achieng Abura - "Omusala" - KENYA
4. Chumba - "Ame Milamila Met" - KENYA

Best Afro Fusion Group

1. The Brothers - "Sawa Sawa" - RWANDA
2. Gargar - "Aids Wadila" - KENYA
3. Sauti Sol "Somasoma" - KENYA

RHUMBA CATEGORY

Best Male

1. Fally Ipupa - Sexy Dance - DRC
2. Chritian Bela "Yako wapi mapenzi - TANZANIA.
3. Ken Wa Maria - "Kavaluku" - KENYA
4. Papa Wemba - Six Million" - DRC

Best Rhumba Female

1. Masha Mapenzi - "Kala Urere" - KENYA
2. Tshala Mwana - "Maloz" - DRC
3. Vumilia Abraham - "Tatizo" - TANZANIA.

Best Rhumba Group

1. Just Family - "Mama" - RWANDA
2. Msondo Ngoma - "Kalunde" - Tanzania
3. J.B. Mpiana w/ Wenge Maison Were - "Mpunda" DRC
4. Werason w/ Wenge B.C.B.G - "Mitterand Champagne" - DRC

FOLK/TRADITIONAL CATEGORY

Best Male

1. Alfred & Bernard - "Igukumi Karotirinda" - BURUNDI
2. Eyob Mackonen - "Ye Mi Dirshie" - ETHIOPIA
3. Ethio-colour - Shemonmuama - ETHIOPIA
4. Diwani Nzaro - "Ukaa" - KENYA

Best Female

1. Beatrice Mathew - "Mapenzi ya Kweli" - TANZANIA
2. Nirere Shanel - "Ameteka" - RWANDA
3. Lady Jaydee - "Mtarimbo" - TANZANIA
4. Tina Mdulule (Big Mama) - "Tupapule" - TANZANIA

MOST PROMISING ARTISTS

Most Promising male Artist

1. Mabeste from - TANZANIA
2. Solomon Mukubwa from - DRC
3. Mr. Lengs from - SOUTH SUDAN

Most Promising Female Artist

1. Nirere Shanel from RWANDA
2. Keko from UGANDA
3. Friday John from South Sudan

BEST VIDEO CATEGORY

1. Lam - "Stay in Love" - SOUTH SUDAN
2. Amani - "Without You" - KENYA
3. Nonini - "Kataa Hiyo" - KENYA
4. Immanuel Jal - "We Want Peace" - S. SUDAN
5. M.O.G ft. Juliani "My Call" - KENYA

Wakazi - ENIGMA (Prod by Don Jazzy)


This is the Enigma Version by Wakazi am Emcee from Dar es Salaam, Tanzania (Now in Chicago). He claims “They aint say the rest of Africa is out of this Jurisdiction…” refering to the Beat being Murder by only Naija Emcees. Check it out, IDJA!!! Don Jazzy is the CEO of Mo'hits Records of Nigeria which is the home of D'Banj, Wande Coal and Dr. Sid. Recently Don jazzy signed a production deal with Kanye West record label Good Music. he put out this Beat Competition by giving out the Enigma beat so all the rappers can spit on it. he will select the 10 best where people will have to vote to determine the top 3. Wakazi took the challenge to represent east Africa especially Tanzania, to show the rest of the world that we do have emcees on the other side of the coast. stay tuned for Updates on this competition and the rest of the news regarding Enigma.

Don Jazzy with Jay-Z & Kanye West

Thursday, August 4, 2011

Lollapalooza festival kufikisha miaka '20' Chicago kesho..., ni Kama Fiesta ya Bongo!

Lady GaGa akiwa ame-dive na kuacha tafrani kwa fans ktk tamasha la lollapalooza lilipofanyika mwaka jana

Eminem amekuwa gumzo zaidi na inasemekana ndie msanii anayesubiriwa kwa hamu ktk tamasha linaloanza kesho pamoja na wasanii wengine

ILianza kama farewell show (Jane's Addiction) ya kundi la rock music iliyoandaliwa na Perry Farrel mwimbaji kiongozi wa kundi hilo mwaka 1991, ikiwa ni idea ya show ndogo tu kwa club lakini sasa imekuwa bonge la Festival linalofanyika kila mwaka na sasa linatimiza miaka 20,
na support kubwa iliyovutiwa na wasanii ambao dunia inawamis kwa sana Ice-T , Nine Inch Nails na wengine kibao wa zamani

Ice T

Utamaduni huo umekuwa ukiendelezwa ambapo kila mwaka kunafanyika Tamasha kubwa la LOLLA na kukusanya wasani kibao zaidi ya 130 kutoka ktk aina tofauti tofauti za muziki, na fans 90,000 wakishuhudia show kali kutoka ktk Stage nane kila siku.
Tamasha Tour hilo kama ilivyo FIEASTA ya Bongo, lenyewe linafanyika kwa siku tatu kuanzia kesho tarehe 5 hadi 7 Agosti




Silver aachia nyimbo mpya "BONGO TZ."

Msanii wa HipHop Bongo anayefanya vizuri ktk ngoma zake SILVER ameachia ngoma yake mpya hivi karibuni kwa ajili ya fans na wapenzi wa music Duniani

Nyimbo inaitwa "BONGO TZ" imefanywa na Producer MAJANI ktk studio za Bongo Record. "Silver" ambae jina lake kamili ni Oscar Elasco Sanga(23) alitoa ngoma yake ya kwanza 2007 iliyoitwa 'Nini Sababu' ambayo alimshirikisha Marlaw, ya pili aliiachia mwaka unaofuata ikiitwa 'Tofauti' featuring Pipi, mwaka 2009 akapumzika kidogo mpaka Oktoba ya 2010 aliporudi tena na nyimbo iliyoitwa 'Nafanya' akamshirikisha Steve RnB ktk chorus.

Mwaka huu wa 2011 tayari Silver ameshaachia ngoma mbili February alitoa nyimbo iliyoitwa 'Maisha' amefanya na Mr. Paul kabla ya kuchia hii ya tano ambayo amemshirikisha mkali wa Hiphop J Moe inayoitwa 'BONGO TZ'.

Unaweza kuiskiza hapo juu kwende playlist ya Makavulive sambamba na ku-download bure kabisa kwa ajili ya PROMO tu.

Petro station zinapokaidi amri ya Serikali.....

Siku nzima ya leo jijini Dsm na miji mingine tangu asubuhi kumekuwa na mgomo baridi kwa wauzaji wa mafuta especially Petrol na Diesel baada ya EWURA kutangaza bei nafuu , ambapo vituo vingi vya mafuta vimekuwa vikidai kuwa mafuta yamekwisha na kusitisha huduma hiyo wakati ukweli ni kwamba WAMEGOMEA BEI MPYA YA MAFUTA HAYO ILIYOTANGAZWA KUANZA LEO

Magari yakichomoka petrol station baada ya mafuta kuisha

Mida hii ya saa saba za usiku, hapa natokea kituo cha mafuta cha Victoria huku nikiwa nimekosa mafuta kwa ajili ya gari yangu baada ya kusota kwenye foleni kwa masaa kadhaa. Kituo hichi ni moja kati ya vituo vichache sana vilivyokuwa vikiuza mafuta kwa siku ya leo na kufikia saa hizi mafuta yalikuwa tayari yamekwisha kisimani huku magari kibao yakibaki kwenye foleni.

foleni ilianzia barabarani kuingia station



unaweza kudhani ni foleni ya trafic light.....



UMEME UMETUSHINDA......! na MAFUTA NAYO!!!!?????
serikali inadhalilika sasa

Monday, August 1, 2011

FIESTA..... 1O years of History was marked!

Usiku wa kuamkia jana ulikuwa gumzo ktk viwanja vya Lidaz Kinondoni ambapo lile tamasha kubwa Afrika ya mashariki 'FIESTA' lilihitimishwa kwa show kali kutoka kwa LUDACRIS........ watu wengi kupita maelezo walimiminika ndani na nje ya uwanja


Show zilianzishwa na wasanii mbalimbali kutumbuiza, wengine wakashangiliwa na wengine kuzomewa kwa Sauti kubwa ya umati, ktk walioshangiliwa na kuzomewa wapo wasanii wawili zaidi Bushoke na Izzo B ambao makelele waliyopigiwa yana maana kubwa sana na hayatakiwi kupuuzwa kabisa!

Bushoke alizomewa sana pale alipoanza kuifagilia serikali eti imefanya mambo mazuri mengi sana, umati mkubwa wa vijana ukapinga ktk staili hio

Izzo B ndie aliyeshangiliwa sana zaidi alipoimba kile kibao chake cha "RIZ ONE Ongea na Msure" nyimbo inayomwelekeza Riz aongee na mkubwa juu ya mambo ya serikali ambayo mengi hayajakaa sawa! pia alipotaka umati uzomee TANESCO, umati ulizomea saaaaana!

10 Years of Fiesta, si mchezo.........


sehemu ya umati uliofurika

Diamond alipiga bonge la Show

dancers wa Diamond

Show ilikuwa kali sana, wapenzi waliohudhuria walilithika ile mbaya..... waandaaji wa Fiesta, Clouds Media walithamini mchango wa wasanii na wadau kibao waliotoa mchango wao tangu mwanzoni mwa utamaduni huu ambao umefikia miaka 10 sasa, Tuzo na heshima zilitolewa kwa wasanii.

BiGuPP sana Wazee wa FiEsTaa!
kuelezea ile show nahisi maneno hayatatosha, zaidi tembelea photos kunako TeenTz.com