World News

Tuesday, April 17, 2012

DJ CHOKA aachia collabo kali kama za DJ KHALED, "PAMOJA WE CAN"

 DJ CHOKA aka Mr. Apetite ameachia nyimbo yake ambayo ni collabo inayoitwa 'PAMOJA WE CAN' akiwa amewashirikisha wasanii kibao wakali ambao ni LEO, MABESTE, BAGDAD, CYRILL, SHETTA, NOORAH, YOUNG DEE, STEREO, chorus ni DEDDY and BELLE KOMBO.

Amepost ktk page yake ya FB "Kazi ya kuanza kusambaza wimbo wangu mpya unaoitwa PAMOJA WE CAN itaanza sOOn kwenye radio station zote Tz na nje ya Tz pamoja na website na BBM...stay tune, One"

Daverneius Jaimes aka DJ KHALED

Ngoma imetengenezwa na PANCHO ktk Studio za BHITZ, mi nimeanza kufananisha na zile COLLABO kali anazotoaga DJ KHALED yule DJ Mpalestina kutokea pande za MAREKANI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...