World News

Tuesday, April 17, 2012

New Song; MY CITY - VATOLOCO, JCB, IBRA & Geez Mabovu mdau wa music,hii ni kazi mpya kabisa ya jamaa wanaokwenda kwa jina la vatoloco,maskani yao ikiwa Arusha pande za erboru,
hii ki kazi yao inaitwa MY CITY,wakiwa wamefanya na Jcb ,Ibra da hasla na Geez mabov, kazi imefanyika ktk studio iitwayo FNOUK STUDIOS ARUSHA, prodyuza akiwa ni Samtimber,KAZI NI YA PAMOJA NA WOTE WANA HAKI NAYO!

Skiza goma ktk Playlist ya Makavu hapo juu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...