World News

Tuesday, April 17, 2012

SHALAPOVA anapenda zaidi kusafiri na Bendi!


BAADA ya bendi maarufu ya muziki wa dansi ya 'Twangwa Pepeta ' kupata tuzo ya wimbo bora wa kiswahili wa bendi kwenye ukumbi wa mlimani City jumamosi katika kinyang'anyio cha tuzo za Kilimanjaro Awards .

MWana mnenguaji wa bedi hiyo Asha Said 'Sharapova'yeye ameibua kioja cha aina yake pale aliposema yeye anajivunia sana safari za kwenda nje ya nchi akiwa  na bendi hiyo.

"Nikiwa twanga nimeisha tua Muscat mara mbili kwa usafiri wa angani , najisikia safi kwa kukanyaga ardhi ya uarabuni marambili,"alisema Shalapova.

Sharapova amekuwa   akisifika na wadau kwa  umahiri wake wa kunengua mauno ndani ya bendi hiyo.Na vile vile safari za bendi hiyo kwenda nje mara kwa mara ilimekuwa ikimfanya kujisiki safi kama anavyo funguka mwenye.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...