Wednesday, September 30, 2009

VIDEO MPYA YA DULLAYO "NAUMIA ROHO"

Mzigo ndio ushakamilika, Check mdau halafu typate maoni yako!!

2 comments:

  1. hii ni bonge ya vidio' imesimama ile mbaya nimependa aina effect nyingi za uongo ipo simple na ya kueleweka: hii ni kama fundisho kwa washamba wasiojua kufanya vidio za ukweli:
    na mpa bigg up ile mbaya: ni mm msela wenu mwana wa kitaa cha kiwalani "DJ imma"

    ReplyDelete
  2. Kweli video imesimama si wongo, settings na hadithi zinaoana, big up babu Mdau Yao

    ReplyDelete