Thursday, June 28, 2012

ZAY B bado yupo kwenye Game!!

Mwanadada Gaidi ZAY to the B aliyeng'ara sana kwenye game ya muziki kitambo, anasema bado hajaacha muziki na amedondosha nyimbo inayoitwa 'Ma boy Friend" kama zawadi kwa mashabiki. Bado anawakilisha game na anawapenda sana fans........yuko chimbo!

Skiza hiyo ngoma hapa chini, pia unaweza kudownload for Free

 download; MA BOY FRIEND - ZAY B



'Not Enough' to say Sorry to Balotelli!


WARSAW: Italian daily spors paper Gazzetta dello Sport has apologised for publishing a cartoon depicting Mario Balotelli as King Kong. Some readers complained at the image, which showed the striker on top of Big Ben, swatting away footballs after Italy’s Euro 2012 win over England.

A statement from Gazzetta read: “We can honestly say it was not among the best products of our talented cartoonist. The newspaper is for those who read it and hence, if certain readers found the cartoon offensive, we apologise.”
Gazzetta rejected accusations of racism against the paper or its cartoonist Valerio Marini. The statement continued: “At this time, a measure of prudence and good taste are necessary because everything, absolutely everything, can be misinterpreted. Those that accuse Gazzetta, and poor Marini, of racism are going overboard.
“This newspaper has fought any form of racism in every stadium and has condemned the boos directed at Balotelli as an unacceptable form of incivility.”

Manchester City striker Balotelli, of Ghanaian descent, was regularly the target of racist abuse when playing in Italy. The cartoon prompted an angry response from anti-discrimination group Kick It Out.
“Mario’s very presence in the Italian team is symbolic on so many levels,” a spokesman said. “The Italian media ought to champion this individual rather than singling him out as a scapegoat and somehow inferior to his international team-mates.”

Hawataki tudai haki zetu, wanatamani tungekuwa vipofu watunyweshe sumu!

Dkt. ULIMBOKA, jemedari wa kudai na kulilia haki za Madaktari Tanzania, sasa yuko hoi kitandani akiendelea na matibabu baada ya jaribio la kumuua kushindikana'

Mweneyikiti wa Jumuia ya Madaktari nchini Dk Stephen Ulimboka, amepigwa na kujeruhiwa vibaya na watu wasiofahamika.

Dkt Ulimboka anadaiwa kuvunjwa mbavu, miguu yote miwili, kung’olewa meno yote ya mbele na kuumizwa vibaya katika sehemu mbalimbali za mwili wake.

Tukio hilo la kikatili na kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam, na linadaiwa kufanywa na watu wa sio julikana ambapo kabla ya kufanya unyama huo walidaiwa kumteka na kumpiga kabla ya kumtelekeza katika eneo la msitu wa Pande Mabwepande.

Wednesday, June 27, 2012

Check Mimba ya Pipi ilivyoinogesha Video yake....

KOCHA WA NGUMI "SUPER D" AITWA KILOMBERO KUFUNDISHA UJUZI WA NGUMI

KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila

'Super D' amepata mwaliko wa kwenda kufundisha  pamoja na kuwapati ujuzi aliokuwa nao katika mchezo wa masumbwi mwaliko huo alioupata kutoka mkoa wa Ifakala mjini Kilombero kutoka kwa klabu ya Kilombero Boxing Klabu  ambaye mwenyekiti wake ni Hiyari Bohari na katibu wa Klabu Hiyo ni Ramadhani Mindu wamempatia mwaliko wa siku mbili

Kocha huyo kwa ajili ya kuwanoa Makocha na kuwapatia ujuzi wa ziada mabondia chipukizi mwaliko huo unaomtaka kwenda kutoa ujuzi wa mchezo wa masumbwi kwa kushirikiana na kocha kutoka mkoa wa Morogoro Boma Kirangi mafunzo hayo yanayotakiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Agost yanaonekana kuwa na umuhimu kwa kuwa vijana wengi wamejitokeza kuwa na mwamko wa mchezo wa masumbwi nchini

Hata hivyo Super D 'alisema kuwa amepokea mwaliko kwa furaha na yupo tayali kutoa ujuzi wake alioupata wakati wa mafunzo ya kimataifa kwa vijana watakaojitokeza' Super D aliongeza kwa kusema mchezo wa maumbwi nchini unapendwa na wengi ila unakosa wafadhili kwa ajili ya kutoa sapoti mbali mbali Super D ametoa wito kwa makampuni mbalimbali  pamoja na wadau wa michezo kujitokeza kusaidia kwa namna moja au nyingine hususani mafunzo anayotaka kuyatoa akiwa mkoa wa Kilombero

Ambapo vijana wengi wanapenda kufahamu zaidi mchezo huo kwani kuna vijana zaidi walioamasika kucheza mchezo huo kwa kuwa na nia moja ya kuhakikisha mchezo wa masumbwi  unawafikisha mbali ya kuwa ni mchezo pia utawapatia ajira

Tuesday, June 26, 2012

Amazon - Checherumba

Belle 9 - Amerudi

"PARTY ZONE"-AY Ft. MARCO CHALI(OFFICIAL VIDEO)

                                    "Party Zone Lyrics" AY feat Marco Chali

Intro:
Marco:
Skia hii ndio fact usiact like you don't know
The way u treated me ulishanipa somo
Skia hii ndio fact usiact like u don know
The way u treated me ulishanipa somo

AY:
Verse 1:
Uliniona sifai,
Ukaniacha ukaenda mbali,
Dunia imekuonyesha
Sa unataka hurudi NO
Maisha haya safari
Uliniacha wakati nakuhitaji
All I wanna do
Niziache stress zi GO................
Dance tonight,
Drink tonight,
Smoke tonight,
Nijipe raha tuu....
Nihave fun tonight
Cruise tonight
Blast tonight
/stress zigoooo

CHORUS:
Party Zone x8

Marco:
Skia hii ndio fact usiact like you don't know
The way u treated me ulishanipa somo
Skia hii ndio fact usiact like u don know
The way u treated me ulishanipa somo

AY & Marco :
Hands up in the air (Pa x4 Party Zone)
Maumivu yashapotea (Pa x4 Party Zone) x2

Monday, June 25, 2012

"CANDY AACHIA VIDEO MPYA CHINI YA NEW PAGE VIDZ PRODUCTION"


CANDY CALFONIA AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA DIRETOR "GOBA FRED" AMBAYE ANAMILIKI KAMPUNI YA "NEW PAGE VIDZ," VIDEO HIYO AMBAYO INATAZAMIWA KUWA NGUMZO KWA MASHABIKI NA WATAZAMAJI WA RUNINGA MBALIMBALI HAPA NCHINI, KWANI HUMO NDANI KUNA MBWEMBWE, KUJIACHIA KUSIKO MFANO, KUJISHEBEDUA, KURINGA KULIKOPITILIZA NA UHODARI MKUBWA WA KUDANCE ALIOUONYESHA NDANI YA VIDEO HIYO, HAKIKA DIRECTOR ALIKUWA MWENYE WAKATI MGUMU SANA WAKATI ANACHUKUA CLIPS ZA VIDEO HIZO.....EBU PATA NAFASI UIONE VIDEO HII NA UONE JINSI CANDY ALIVYOJIACHIA NI BALAA...!! VIDEO YAKE HIVI PUNDE TU ITAONEKANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA LUNINGA NDANI NA NJE YA TANZANIA. MWANADADA CANDY AMBAYE WIMBO WAKE HUO MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" NI MIONGONI KWA JIMBO 6 ZA WASANII CHIPUKIZI ZILIZOCHAGULIWA KWA AJILI YA FIESTA 2012 NA NI MWANAMKE PEKEE KWENYE GROUP HILO LA WATU SITA AMBAPO WATANO NI WANAUME.

JINA LA WIMBO (VIDEO) : CHANINI

WATENGENEZAJI WA VIDEO : NEW PAGE VIDZ

MSIMAMIZI : GOBA FRED

MSANII : CANDY

WATENGENEZAJI(AUDIO) : PAMOJA RECORDS

MAWASILIANO YA MSANII : 0753 915938

BARUA PEPE : hellendavid40@yahoo.com

FACEBOOK & TWITTER : CANDY CALFONIA

Friday, June 22, 2012

NOCOZ NA NAKOZ NDANI YA PINI MOJA!!


Nocoz are back again this time wakimshirikisha BouNako toka N2N, hapa sasa NOcoz na NAkoz ndani ya pini moja ndani ya beat ya mtu mzima Samtimber na vocals/mixing ikiwa ni pande za noizmekah.com chini ya defxtro.

Support kwa hiphop chipukizi ndio mpango na pini linakwenda kwa jina la KAZI..ikiwa ni kazi kweli ya hardcore hiphop inayodokeza ugumu wa maisha na vikwazo vya kizembe vinavopelekea machizi kufilisika, kulosti maisha.

Skiliza pini na support hiphop music from tanzania,One!

New Track; DS ft. Biko - TWENDE KIJIJINI

DS akimshirikisha Biko, kwa pamoja wakiwa wasanii chipukizi wa bongofleva nyanda za kaskazini wanakuja kitofauti zaidi kwani nyimbo hii ya twende kijijini inaashiria kuwa bongo fleva sio mambo ya mapenzi tu bali hata ujumbe unaweza kuhusishwa mana humu DS anazungumzia maisha ya mjini namna yanavokuwa magumu nyakati zingine hata kula ni utata hivyo kupelekea maisha kuwa mateso na ya kuuza sura tu!
support ni kitu muhim tunashkuru media zote

Skiza track na ku-download ktk playlist hapo juu, FoR PrOmO onlyyyyyyy

Thursday, June 21, 2012

Warembo wa Vyuo wafundwa, Mtanange ni Kesho!!

KAMATI ya Miss TAnzania jana imetembelea kambi ya Miss Dar Intercollege iliyopo kwenye hoteli ya The Grand Villa, Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwafunda.

Shindano hilo linatarajiwa kufanyika ijumaa ya kesho katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa uliopo mkabala na chuo cha Usmiamizi wa Fedha (IFM).

Akizungumza na warembo hao, mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye aliwataka warembo hao kufuata miongozi na kanuni za shindano hilo ikiwemo kuwa na nidhamu.

Alisema urembo si sura na umbo zuri bali unahusisha pia nidhamu katika jamii hivyo amewataka warembo hao kuzingatia hayo.

Xdizo Renne - Ukurasa wa Hela

This Saturday @ FLIRTEASE




























Skylight
Parties,this time at Flirtese Shoppers Plaza 23/June ,
brings you the hottest partiism from Dj Kaytrix (from Nairobi), Dj Nelly , Dj Amo Blaze and Dj Lee.
Skylight Parties ,follow the light ,THE ULTIMATE PARTY movement .
Remember strictly HOTNESS ! (15 K)
Follow Us on Twiter : @skylightparty
Like our fanpage on Facebook : Skylight parties tz
BBM PIN : 2964DD5C

Baghdad atishiwa Maisha!

mnamo tarehe 18 mwezi wa 6 msanii wa mziki aliekuwa nyumbabi kwa meneja wake maeneo ya mabibo wakipiga maehesab8u ya walichokikusanya kwa usiku wa jana baada ya kuandaa usiku wao pale maisha club jana yake akiwa na wasanii kama mabeste, nurdin,, fidodido, chidi benz na wenginewe msanii huyo alipokea simu kutoka kituo cha habari kiki muhoji kuhusiana na tamasha walilolifanya tar 9 mwezi jun mwaka huu mji kasoro bahari, alieanza kumpigia ni mtangazaji wa signeb almaarufu kama u heard na kumuhoji baghdad na baada ya mahojiano yaliyokuwa yakielezea maisha yaliyotokea morogoro baada ya show wasanii walioy=tajwa kupata shida walimpigia simu baghdad na kuanza kumtukana huku wengine wakimtishia maisha yake, wa kwanza alikuwa ni messen selector akimtukana saana matusi ya nguoni, wa pili alikuwa ni msanii wa mesen tash, na wa tatu alikuwa suma mnazaret ambae alikiri kwa mdomo wake ya kuwa kama hatomteka baghdad mwaka huu baasi mama yake mzazi atafufuka, na alisema atatoroka nchi kwa sababu ya tukiio atakalonifanyia! haya matukio yote yalitoea mara tu baada ya baghdad kuojiwa na kituo kikubwa cha radio hapa mjini.mpaka sasa baghdad kshachukua rb yake iko mkononi na kwa sasa kinachoendelea ni kusubiri masaa 48 kuanzia sasa walalamikiwa kufika kituo cha polisi ili kesi kupelekwa mahakamani mara baada ya washitakiwa hao kutiwa mbaroni!

Wednesday, June 20, 2012

Warembo Miss Dar Intercollege kusugua kisigino na Twana leo!!


Na Mwandishi Wetu

WAREMBO wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss dar Intercollege 2012 jumatano wanatarajiwa kujivinjari katika ukumbi wa kimataifa wa Club Bilicanas iliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Shindano hilo limepangwa kufanyika Ijumaa ya Juni 22 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa uliopo mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ambapo msanii wa bongo Fleva Nasib Abdul ‘Diamond’ anatarajiwa kutumbuiza.

Mratibu wa shindano hilo Dina Ismail amesema leo kwamba, warembo hao watapata kuhudhuria onyesho maalum la bendi ya African Stars "twanga Pepeta' kupitia usiku wa Mwafrika unaorindima kila jumatano katika klabu hiyo.

Dina alisema uongozi wa Bilicanas Group umewaalika warembo hao ili kuweza kuburudika pamoja na mashabiki wa muziki wa dansi nchini kwa lengo la kujipoza baada ya mazoezi yao.

Monday, June 18, 2012

AY ft Marco Chali - Party Zone [Official Video]

DIAMOND KUPAMBA MISS DAR INTER COLLEGE 2012

Na Mwandishi Wetu
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasib Adbdul ‘Diamond’ anatarajiwa kupamba shindano la kumsaka Miss dar Intercollege 2012 linalotarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa , uliopo mkabala na chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).

Mratibu wa shindano hilo Dina Ismail alisema jana kwamba mbali na Diamond, onyesho hilo pia litapambwa na burudani kutoka bendi ya Skylight iliyopo chini ya mshiriki wa Tusker Project Fame mwaka juzi, Anneth Kushaba.

Alisema maandalizi ya shindano hilo yanakwenda vema ambapo warembo 14 watakaosghiriki  wanaendelea na mazoezi katika hoteli ya  The Grand Villa iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam

Wakati Mwana-FA anamwomba Mungu amwongezee, CHID Beenz anamwomba Ampokee!!

Chid Beenz
mambo vipi!! hio ni nyimbo yangu nilio release hivi recently nimefanya
na Ben Poul inaitwa NIPOKEE ambayo niliahidi kuitoa soon kwa ajili ya
mashabiki wangu.

 I hope ntapata Support kutoka kwenu. For any
Interview or feedback  you can check me on ma cell: 0784609974.
ukiipata or kama kuna tatizo lolote na hio track just let me know.
la familia. chuuma

Unaweza kuskiza ngoma hii mpya ktk Playlist hapo juu!

Friday, June 15, 2012

TISHO BOY Engineer, Msanii anayekuja kuiteka Afrika Mashariki

Tisho Boy (Muhindi Kutisha) ni msanii chipukizi wa kizazi kipya  mwenye uwezo wa kuimba na kufoka(Rap) ambaye pia ni Mwanafunzi wa Computer Engineering Nairobi Kenya
Alianza sanaa ya uimbaji akiwa chekechea wakati huo akishiriki katika kwaya ya shule. Swala la uimbaji halikuwa limechipuka sana kwani maigizo yalimchukuwa muda sana. Alipenda ushairi na fasihi kwa ujumla na haswa mwanzo wake, tungo za kishairi akazifanya nyimbo. 
Wimbo wake wa kwanza Mpenzi Nakupenda aliomshirikisha 2M, haukumfurahisha lakini ikawa changamoto chanya kwake kama kawaida ya wasanii chipukizi wanapochupuka.
 Alifwata na Nipe Flow ambao amemshirikisha Farisayo(Emmanuel Karisa) pamoja na Lidwati na Tuna akimshirikisha Farisayo vile vile ambazo amezifanyia UGC (Orynx Music) Production, Kenya kwa mitindo ya Kapuka/Genge. Anatazamia kufanya video hivi karibuni.


Tisho Boy ni Mwandishi pia wa Riwaya na Tamthilia. Riwaya yake 'Kumbukumbu za Kutisha' anaitazamia kuipiga chapa na matbaa mojawapo nchini Kenya. Pia yeye hutunga na kughani mashairi na vilevile anakusudia kutoa Diwani yake ya Mashairi 'Kabwela la Bara' mwakani.

Alizaliwa 1990, Desemba 23 nchini Kenya. Asili yake ni ya Kitaita na Kihaya.(Bongo)

Anapenda muziki, kucheza na kutazama soka, shabiki mkubwa wa Chealsea, kutazama Bongo Movie na ana ndoto ya kufanya Bongo Movie siku za halafu. Ana uraibu na maswala ya tarkalishi sana na kuimba. 

Farisayo

Tuna_Tisho Boy ft Farisayo.
Tuna ni wimbo ulioimbwa kwa mtindo wa ragga/Dancehall/Kapuka. Ni Klub song ambayo inazungumzia kula bata haswa walengwa wakiwa vijana na yeyote mwenye uwezo wa kujirusha. Ina maudhui ya starehe ya klub na pia inakashifu wenye jicho na chuki. Kwani wapende wasipende, tunajirusha. Imefanywa UGC Production na Producer Miwo nikimshirikisha Farisayo( Emmanuel Karisa)
http://www.reverbnation.com/open_graph/song/13545738, Unaweza kuskiza na Ku-download free nyimbo hii ktk Playlist ya Makavulive hapo juu.


Nipe Flow
Nipe flow ni track ambayo ina maudhui ya mapenzi. Kuna binti nampenda lakini kuna wenye kijicho wenye wivu. Nawakausha kwa track hii kwa kumwambia binti huyu anipe flow nizidi kuringa(Kujiroll)

Chriss B Ft Dullayo-Tamaa gani.

Thursday, June 14, 2012

SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA, MTOTO AFARIKI

Presenter mahiri wa kituo cha Star Tv hasa kipindi cha Muziki wa Kizazi kipya 'BONGO BEATZ" Dada SAUDA MWILIMA alijifungua mtoto wa Kiume juzi kuamkia jana ktk hospitali ya Kinondoni kwa Doctor Mvungi, lakini kwa bahati mbaya mtoto wake alifariki dunia

Taarifa za Mtoa habari wa Makavulive zinasema Sauda bado yupo hospitali na afya yake inaendelea vizuri kabisa.

Blogu ya MAKAVU inakupa pole sana Sauda Mwilima na familia yako, kwani kazi ya Mungu haina makosa.

MUNGU AKUPE NGUVU, URUDI KTK AFYA YAKO NJEMA, INSHALLAH!!!

DULLAYO AWATAJA WASANII WATATU WANAOIWAKILISHA "MAKAVULIVE"

Dullayo ambaye ni kiongozi wa Clik ya Makavulive, amewataja wasanii watatu wanaoiwakilisha Familia ya Makavulive ktk Muziki ambao ni yeye mwenyewe DULLAYO, MON-G na EASY MAN.

 Ktk Interview aliyofanya live na Presenter wa Uhuru Fm 'Soggy' wakati anaitambulisha nyimbo mpya ya Makavulive inayoitwa "FUNGUA" waliyomshirikisha Joslin, Dullayo aliulizwa na Soggy kuwa Makavulive ni nini, akasema "Makavulive ni Chama kubwa kama familia ambamo kuwa watu wengi sana ambao wanahusiana nalo na kila mmoja ana shughuli tofauti na muziki kwa ajili na maisha ya kila siku"

Mon-G & Dullayo
"Ila kwa upande wa muziki kwa sasa tupo wasanii watatu tunaowakilisha Makavulive ambao ni Dullayo, Mon-G na Eazy Man ambaye yeye ame-base sana ktk style ya Mnanda au mchiriku lkn pia yupo Makavulive"

Eazy Man

Pia Dullayo amesema kwa sasa wapo serious kukamilisha Project yao ya Kwanza kama kundi na tayari wameachia ngoma kali mpya kutoka kwa P FUNK "MAJANI" wa BONGO RECORDZ na upigaji wa picha (Video) ya nyimbo hiyo utaanza muda sio mrefu.

Album ya kwanza ya Dullayo - 2008

 Huku kila mmoja akiendelea na mitikasi ya Album yake ambapo yeye mwenyewe anakamilisha album yake ya pili baada ya IMANI aliyotoa 2008, pia Eazy ameshamaliza ya kwake na Mon-G naye yuko mbioni kukamilisha ya kwake.

Baada ya Diamond na Dj Fetty kupagawisha BBA StarGame, AY kudondoka tena ktk Show ya Jumapili hii!

 
Msanii wa muziki wa Hip Hop (Bongo Flava) nchini ambaye anafanya vizuri ndani na nje ya Tanzania, Ambwene Yessayah (AY), anakuwa msanii wa pili kuiwakilisha vyema na kupeperusha bendara ya Tanzania wikiendi hii pale Johannesburg katika  show ambayo anatarajia kuifanya siku ya jumapili hii tarehe 17/06/2012 kwenye Big Brother Star Game.

AY anatarajia kuondoka nchini kuelekea Afrika Kusini siku ya jumamosi na akiongozana na Mwana Fa na Arthur pia ataungana na Sauti Sol kutoka nchini Kenya kwa pamoja siku hiyo watapiga show hiyo.Hii itakuwa kwa mara ya 2 AY kufanya show katika Big Brother awali ilikuwa 2008.

AY pia yupo mbioni kuachia wimbo mpya wa “Party Zone” akiwa ameshirikisha Marco Chali kutoka Mj Records. Wimbo huo ambayo umekalimika hadi ukuchukuaji wa picha( Video). Ambapo video imetengenezwa na kampuni ya The God Father Production ambao wapo Afrika kusini, ni kampuni ambayo imefanya kazi na wasanii wengi sana wakiwemo P Square,J Martin, Mr. Flavor,Akon,na wengine wengi, Na gharama ya video hiyo imegharimu  dolla za kimarekani elfu ishirini (20,000), sawa na milioni thelathini na mbili za kitanzania (32,000,000). Na wimbo huo wa Party Zone anarajia kuwachia mapema week ijayo.

Aytanzania.com
 

MISS DAR INTERCOLLEGE KUTEMBELEA MAKUMBUSHO, J.MOSI

Na Mwandishi Wetu

WAREMBO wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Intercollege 2012  jumamosi  hii wanatarajiwa kutembelea makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kujifunza.

Shindano hilo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi huo wa Makumbusho ya Taifa uliopo mkatabala na chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM) Juni, 22 mwaka huu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, mratibu wa shindano hilo Dina Ismail, alisema ziara hiyo itawasaidia sana warembo hao katika harakati zao za kielimu.

Alisema Makumbusho ya Taifa ni sehemu muhimu kwa kila Mtanzania kufahamu kutokana na kuwepo vitu vingi vya kihistoria vilivyopata kutokea katika karne zilizopita.

Wednesday, June 13, 2012

SOLO THANG afichua COPY & PASTE ya MWANA-FA, ni AMEEN VS HEY ya mjamaica CECILE

Ameandika Solo Thang ktk Blog yake ya 'I AM TRAVELLAH"

Hebu Tuiskilize kwanza hii ngoma AMEEN y MWANA FA ft AY/Dully SYKES sina uhakika BEAT imetengenezwa  na nani!!



Ila katika upekuzi wangu kama mdau na mpenzi wa muziki  pia nikakutana na nyimbo hii ya mwana dada anaitwa CECILE ina inaitwa HEY akimshirikisha AGENT SASCO ISIKILIZE hapa chini

 











Kama utaskiliza vyema BEAT  na CHORUS zinafanana sana Ukweli kuhusu hili atakua anaujua vyema MWANA FA na prodyucer aliorekodi pamoja na studio husika ...JE ni SAMPLING tu ama COPY & PASTE ?

Maswali naomba yaelekweze kwa Mwana FA,,,,,huu ni MTAZAMO tu!


Tuesday, June 12, 2012

New Single from Kigali by M-ONE - "MARIA"

Big Town Records, inatambulisha nyimbo mpya ya M-One inayo itwa Maria, ambayo imefanya chini ya producer DJB wa studios za BigTown  records Kigali Rwanda,ni nyimbo yenye miondoko ya dancehall, iliyo imbwa kwa lugha ya Kinyarwanda na Patwa.

 M-One ni msanii member signee wa bigtown record ya kigali na ana uwezo mkubwa wa kuimba dancehall kwa lugha tofauti kama vile English, Kiswahili, Kinyarwanda, Luganda and Patwa.
       
  Tumewatumia hii nyimbo ya M-One ili kusudi sote pamoja tuweze ku promote gud music. Nadhani mtafurahia sana nyimbo hii.

na kwalolote lile mnaweza kuwasiliana nasi kwa number zifuatazo
 +250788781609

DIVA AKAMILISHA KIBAO CHAKE, Diva ft. Diamond - "PIGA SIMU"


Its finally out! Diva Loveness Love brand new single featuring Diamond Platnumz that goes by the name of PIGA SIMU. A lot has been said about this track produced by Lamar at FishCrab Studios even before it came out, sasa have your say and let us know what YOU think.

Saturday, June 9, 2012

Dj Fetty Kukinukisha ndani ya Big Brother Leo, Dont miss it!

Dj Fetty atakinukisha leo na kesho ktk Jumba la BBA StarGame, picha ya mtandao
The first lady of Tanzania’s deejaying scene, DJ Fetty will be on the one’s and two’s tomorrow at the official StarGame party.
 Born Fatma Hassan, the musical lady started deejaying in 2006 as an employee at Clouds Fm radio station in Dar-es-salaam on a very popular afternoon show called 'Dr Beat'. She started out playing mostly hip hop, R&B, Bongo Fleva and a little bit of pop.

 While on the show she joined Clouds DJ group collectively known as Nyuki DJ’s as part of a phenomena show at the time called ‘Saturday Night Live’. The show saw a group on Tanzania’s finest including Mwanza, Tanga and Dodoma performing in different regions every weekend. It was at this time that she started gaining popularity as a force to be reckoned with. For three years in a row, DJ Fetty has performed at the popular yearly musical event ‘Fiesta’ and she has also previously been part of the MTV VJ search in Arusha.

 Don’t miss out on all the fun at the StarGame party tomorrow at 22:00 CAT on DStv's Channel 198.

Nifanye Nikupate -By Makamua,Joslin,Kekuu

Friday, June 8, 2012

MALKIA WA TAARAB' KUINOGESHA MISS LAKE ZONE 2012


   Malkia wa mipasho na mshindi wa tuzo za Tanzania Kili music Awards 2012 Khadija Kopa anategemewa kuwa kivuto kikubwa kwa kutoa burudani ya kipekee katika shindano la kumsaka mlimbwende wa MISS lAKE ZONE INTERCOLLEGES 2012 ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika mkoani Kagera katika mji wa Bukoba.

  Akizungumza na mwandishi wa habari hii jijini Dar es salaam Mwandaaji wa shindano hilo Bw.Joseph Rwebangira amesema kuwa asilimia kubwa ya maandalizi yameshatimia,hata hivyo Rwebangira aliongezea kuwa mshereheshaji wa siku hiyo atakuwa mchekeshaji maarufu afrika mashariki na kati Mpoki wa the origina comedy.

   Miss Lake zone Intercolleges 2012 inayoandaliwa na kampuni ya Angles Real Entertainment ya jijini Dar es salaam chini ya Mkurugezi wake Joseph Rwebangira imejipanga vya kutosha kuleta mabadiliko ikiwa na lengo la kumfikisha mrembo wake katika ngazi ya fainali kitaifa.

   Shindano hilo litafanyika katika ukumbi wa Linuz Club uliopo Bukoba mjini siku ya jumamosi tarehe  23 juni ambapo mbali ya hayo kutakuwa na burudani za ngoma za asili na wasanii wa mkoa wa Kagera,pia kiingilio kitakuwa ni Tsh 10,000/= kawaida na V.I.P ni Tshs 15,000/=

New RELEASE; TONIGTH - J RYDER ft. DCB

It's that summertime, everything is good. What follows is a collaboration from two different places. A Club Joint, for party people and all fans who enjoy great music. The Song is called Tonight and J-Ryder joined with Dar City Boyz (DCB) which comprises of Big Flow Santanna, Imma, and Lil Harsh to complete the song. We greatly appreciate and thank all for your support on this song. We have a great feeling it's going to reach far and also taking the Tanzanian Music to the next level.

Thanks,
J-Ryder

Artist : J-Ryder Feat. Dar City Boyz (DCB)
Song Name : Tonight
Producer : J-Ryder
Genre : Electronic/Dance
Vocals : Dar City Boyz (DCB), Recorded at Marshalz Studios (India)
Mixed & Mastered by J-Ryder in Vantaa, Finland
 

Lyrics

Song Name : Tonight
Artist    : J-Ryder Feat. Dar City boyz (DCB)

Chorus (Big Flow Santanna) *2
I would love to be with you tonight
And I would love to be with you tonight

Verse 1 (Big Flow Santanna)
I step up in the club with class
And she is tryna get in to my pants
Two models they bugging hands in my pocket
But I want you tonight

Chorus (Big Flow Santanna) *2

Bridge (Big Flow Santanna)
I wanna make love tonight with you
Same night we through
No regreats no
I wanna make love tonight with you with you with you

(Let's go)

Verse 2 (Immo)
Don't love me just love my paper
Use me now forget me later
Tonight I can be your better man
Won't you rather come chill let's hang
Free will club bang
I don't wanna be your man
But tonight (hahah) watch me!

(Big Flow Santanna)
Two models they bugging hands in my pockets (pocket) *3
But i want you tonight

Chorus (Big Flow Santanna) *2

(Let's go) *2
(Would love) *2
 

Wednesday, June 6, 2012

VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013

 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
06.06.2012
 
YAH: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA
FEDHA 2012/2013

Ndg. Waandishi wa Habari
Mwaka 2011/2012 Kambi ya Upinzani Bungeni ilitangaza Vipaumbele vyake katika Bajeti Mbadala ambavyo vilikuwa:

1. Kupunguza misamaha ya kodi mpaka 1% ya pato la Taifa kutoka 3%
2. Kupunguza kodi kwenye bidhaa za mafuta ya petrol na dizeli ili kupunguza mfumuko wa bei
3. Kufuta mfumo wa posho za vikao (Sitting allowances).
4. Kupeleka sehemu ya tozo ya ujuzi (Skills Development levy-SDL) kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

Masuala haya pamoja na mengine yalikuwa sehemu ya Bajeti kivuli iliyowasilishwa Bungeni na Kambi ya Upinzani.